YANGA WASEMA TFF WALITAKA MECHI YAO NA TP MAZEMBE IVUNJWE



Uongozi huo wa Yanga umesikitishwa na vitisho vinavyotelewa na viongozi wa TFF akiwemo raisi wa shirikisho hilo,Jamali Malinzi juu ya vitisho vya kwa timu ya Yanga kwani hawatendi haki kwa timu hiyo ambayo ndio timu pekee inayoiwakilisha nchi kwenye michuano ya kimataifa kwa ngazi ya vilabu

Amesema kwamba katika mechi yao dhidi ya TP Mazembe kumekua na baadhi ya viongozi kutoka TFF wakimwambia msimamizi wa mechi hiyo aweze kuvunja pambano hilo kwa kua kumekua na vurugu ambazo kwa mujibu wa taarifa yao kauli hiyo ni sawa na kuwafanyia hujuma

Aidha pia shirikisho hilo linaendelea kutoa vitisho kwa viongozi wa klabu akiwemo msemaji Jerry Muro juu ya kutaka kumuadhibu kwa kuweza kumfungia kutojihusisha na mpira ilihali yeye amekua akipigania maslahi ya Yanga

No comments