WALES WATINGA NUSU FAINALI BAADA YA KUICHAKAZA BELGIUM


Timu ya Wales imefanikiwa kutinga nusu fainali katika michuano ya Euro 2016 mara baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 mbele ya Belgium

Radja Nainggolan alikua wa kwanza kuipatia bao la kuongoza Belgium kunako dk ya 13 ya kipindi cha kwanza,lkn bao hilo halikuweza kuzuia wapinzani wao wasiibuke na ushindi kwani katika dakika ya 31 Ashley Williams alifanikiwa kuisawazishia bao Wales kabla ya Hal Robson na Sam Vokes kuhitimisha kalamu ya mabao ya ushindi

No comments