HUU NDIO MSAFARA WA WATU 32 WA TP MAZEMBE WANAOTARAJI KUWASILI LEO HII MAJIRA YA SAA TATU USIKU


Timu ya TP MAZEMBE inataraji kuwasili hapa nchini kunako majira ya saa tatu usiku kwa ndege ya KQ,ikiwa na msafara wa watu 32 na kufikia Serena Hoteli tayari kujiandaa na pambano lao la kombe la shirikisho barani Afrika dhidi ya Yanga katika mechi inayotaraji kupigwa kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam siku ya jumnne ya tarehe 28 ya mwezi huu.

Kikosi cha wachezaji wa TP MAZEMBE,ambao wanataraji kuwasili hapa nchini kinaongozwa na;

Robert Kidiaba
Sylvain Gbohou
Issama Mpeko
Joel Kimwaki
Thomas Ulimwengu
Christian Koume
Jean Kasusula
Salif Coullbaly
Merveille Bope
Jose Badibake
Kissi Boateng
Roger Assale
Rainford Kalaba
Deo Kanda
Adam Traore
Christian Luyindama
Nathan Sinkala
Joas Sakuwaha
..........................
BENCHI LA UFUNDI

Theobald Binamungu
Mohamed Kamwanya
Dony Kabongo
Frederic Kitenge
Andre Ntima
............................
MADAKTARI
Hurbert Velud
Pamphile Mihayo
...............
MHUDUMU
Richard Mubemb
.................
PRESS
Heritier Yinduka
Arther Kikun
Meshack Kayembe

No comments