MECHI YA MEDEAMA NA MO BEJAIA YAMALIZIKA KWA SALE


Timu ya Mo Bejaia ya nchini Algeria leo hii imetoka sale ya bila kufungana dhidi ya wenyeji wa mchezo huo Medeama ya nchini Ghana na matokea hayo yanaifanya timu ya TP MAZEMBE kuendelea kuongoza katika msimamo wa kundi hilo kwa kua na alama sita wakifuatia Mo Bejai kwenye nafasi ya pili na alama nne,nafasi ya tatu inashikwa na timu ya Medeamba ambao mara baada ya sale ya leo hii wamepata alamo moja huku nafasi ya mwisho ikishikiliwa na Yanga

Kutokana na matokeo hayo,yanaifanya timu ya Yanga kua kwenye wakati mgumu ambapo kwa sasa kinachotakiwa kufanywa na wanajangwani huo kupata ushindi katika mechi yao ijayo dhidi ya Medeama ili waweze kupaa kwenye nafasi ya tatu na kufufua matumini ya kutinga kwenye hatua inayofuata

No comments