ZLATAN ATUA MANCHESTER UNITED


Mchezaji Zlatan Ibrahimovich ni mali ya Manchester United,hii inatokana na leo hii kusaini kandarasi ya mwaka mmoja kuitumikia timu hiyo na atakuwa akilipwa mshahara wa pauni 200,000 kwa wiki

Mshahara huo unamfanya kua mmoja ya wachezaji ambao wanalipwa mishahara mikubwa katika ligi ya nchini England

No comments