SERENGETI BOYS YAANZA VYEMA KATIKA HARAKATI ZA KUWANIA KUCHEZA FAINALI ZA AFRIKA KWA VIJANA


Timu ya Taifa ya vijana ya Tanzania Serengeti Boys imefanikiwa kuanza vyema katika harakati za kusaka tiketi ya kufuzu kwa fainali za Afrika baada ya kuchomoza na ushindi wa bao 3-0 mbele ya timu ya Shelisheli katika pambano ambalo limepigwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam

No comments