YANGA YAONYESHA JEURI YA PESA,SASA MASHABIKI WATAINGIA BURE KATIKA MECHI DHIDI YA TP MAZEMBE


Uongozi wa timu ya soka ya Yanga umesema kwamba mechi kati ya Yanga dhidi ya TP MAZEMBE itakayopigwa siku ya jumnne ya tarehe 28 ya mwezi huu mashabiki wa klabu hiyo wataingia bure uwanjani na hakutakua na kiingilio chochote

Kwa mujibu wa taarifa kutoka katika klabu ya Yanga katika kikao kilichofanyika usiku huu chini ya mwenyekiti Yusuph Manji uongozi umeamua kufanya hivyo kwa lengo la mashabiki wa timu hiyo kupata fursa ya kuishangilia timu yao

No comments