NJOMBE MJI KUKIPIGA NA AZAM FC

Timu ya soka ya Njombe Mji FC itacheza  mchezo wa kirafiki siku ya J3 na timu ya Azam FC katika mchezo wa kirafiki.

Akizungumza na MWANDIKE.BLOGSPOT,Kocha mkuu wa timu hiyo Hassan Banyai alisema watacheza  na timu hiyo katika uwanja wa Aman Makambako
.
Kwa mujibu wa Banyai alisema baada ya mchezo huo na Azam watajipima nguvu na timu za Mbeya city, Ndanda,Jkt Mlale  na Maji Maji FC.

Njombe Mji imepanda  ligi kuu msimu huu na sasa ipo  katika maandalizi ya ligi kuu itakayoana mwezi ujao.

No comments