ALLY MUSTAPHA BARTHEZ AJIUNGA NA SINGIDA UNITED

Mlinda mlango wa timu ya Yanga,Ally Mustapha maarufu kwa jina la Barthez amejiunga rasmi na klabu ya Singida United baada ya kusaini kandarasi ya miaka miwili.

Barthez anajiunga na klabu hiyo iliyopanda daraja msimu huu baada ya kuvunja mkataba wake na klabu yake ya zamani ya Yanga,ambayo ilishindwa kuonyesha nia ya kumuhitaji kuendelea nae.

No comments