KAMUSOKO ASALIA NDANI YA KLABU YA YANGA

Klabu ya Yanga imefanikiwa kumbakisha kiungo wake mahili Thabani Kamusoko baada ya leo hii kusaini kandarasi ya miaka miwili kwa ajili ya kuendelea kuwepo ndani ya klabu hiyo.

Kamusoko ni miongoni mwa wachezaji ambao mikataba yao ilimalizika hivyo uongozi wa Yanga baada ya kutambua mchango wake ukaamua kumpa kandarasi mpya.

No comments