SHITAKA LA JAMALI MALINZI LAPIGWA KALENDA

Kesi inayomuhusisha rais wa TFF,Jamali Malinzi na wenzake imeaihirishwa hadi tarehe 11 ya mwezi wa nane mwaka huu kufuatia upelelezi kutokamilika.

Kesi hiyo inayosikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu pia imesogeza mbele kesi inayowahusu viongozi wakuu wa Simba,Rais Evans Aveva na makamu wake Geofrey Nyange Kaburu hadi hapo tarehe saba ya mwezi wa nane.

No comments