OMEGA SEME ATUA LIPULI FC

Klabu ya Lipuli ya mkoani Iringa imeendelea kufanya kweli kwenye soko la usajili baada ya leo hii kukamilisha usaji wa mchezaji wa zamani wa timu ya Yanga,Omega Seme.

Omega anaungana na Malimi Busungu ambae nae leo hii amekamilisha usajili wa kuwatumikia wana Paluhengo hao waliopanda daraja kucheza ligi kuu ya Tanzania bara.


No comments