BARAZA LA WADHAMINI SIMBA KWENDA MAHAKAMANI

Baraza la wadhamini wa klabu ya Simba wameendelea kupinga kutoutambua mkutano mkuu wa klabu hiyo unaotarajiwa kufanyika agost 13 mwaka huu.

Mwenyekiti wa baraza hilo,Hamis Kilomoni alisema kwamba endapo viongozi waliopo madarakani hawatatekeleza waliyoyasema basi kwa upande wao watakwenda mahakamani.

Alisema kwamba mkutano huo unaotarajiwa kufanyika si halali kwani haukufuata misingi na katiba ya Simba.

No comments