SIMON MSUVA AANZA NA MWANZO MZURI

Winga Simon Msuva ameanza na mwanzo mzuri katika timu yake mpya ya Difaa Hassan EL Jadidi ya nchini Morocco baada ya kufunga goli katika mchezo wake wa kwanza tangu ajiunge na klabu hiyo iliyoshika nafasi ya pili katika ligi kuu ya nchi hiyo.

Msuva alifunga goli la kufutia machozi baada ya kikosi chake kupokea kipigo cha bao 2-1 katika mchezo wa kirafiki.

No comments