MKWASA KUZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI

Katibu mkuu wa klabu ya Yanga,Charse Boniphace Mkwasa hapo kesho anataraji kuzungumza na waandishi wa Habari katika makao makuu ya klabu hiyo yaliyopo mitaa ya Twiga na Jangwani jijini Dar es salaam.

Mkutano huo unaotaraji kuanza saa tano kamili asubuhi huenda Mkwasa akazungumzia swala la klabu hiyo kutopata mwaliko kutoka TFF juu ya kuhudhuria katika hafla ya utoaji wa vifaa kwa timu za ligi kuu ya Tanzania bara uliofanyika leo hii.

No comments