KIKOSI CHA YANGA SC LEO DHIDI YA MC ALGER

Kocha mkuu wa klabu ya Yanga George Lwandamina leo hii amemuanzisha Donald Ngoma kuiongoza safu ya ushambuliaji ya klabu hiyo katika mchezo wa kombe la shirikisho barani Afrika.

Ngoma kwa muda mrefu amekuwa akikosekana katika kikosi cha timu hiyo baada ya kukabiliwa na majeruhi lkn leo hii kocha mkuu ameamua kumuamini kwenye kikosi cha kwanza akisaidiana Haruna Niyonzima.

KIKOSI KAMILI CHA TIMU YA yANGA LEO HII
1. Deogratius Munishi
2. Hassani Kessy
3. Haji Mwinyi
4. Kelvin Yondani
5. Nadir Haroub
6. Saidi Juma
7. Saimoni Msuva
8. Thabani Kamusoko
9. Donald Ngoma
10. Haruna Niyonzima
11. Deusi Kaseke

Akiba
- Beno Kakolanya
- Vicent Andrew
- Juma Andul
- Juma Mahadhi
- Geofrey Mwashuiya
- Amisi Tambwe
- Emanuel Martin
Mfumo 4-4-2
Aggregate: 0-1
Muda : 18:00 ( 20:00 EAT )

Hao ndio wachezaji wote 18 waliongozana na timu nchini Algeria.

No comments