TAZAMA LIVE MECHI YA AL MASRY NA SIMBA KUPITIA BLOG HII

Timu ya soka ya Simba leo hii itajitupa uwanjani kumenyana na Al Masry ya Misri katika mchezo wa kombe la shirikisho barani Afrika mchezo unaotarajiwa kupigwa kunako mishale ya saa 8:30 usiku kwa za hapa nyumbani.

MWANDIKE .BLOGSPORT kwa kutambua thamani ya mchango wako imewekea link hapo chini kuitazama live mechi hiyo inayotarajiwa kuchezwa huko nchini Misri.

Bonyeza link hii hapa chini kuitazama live;
httwps://youtu.be/cUSFptIfiIk ...Au bonyeza hii http://www.yalla-shoot.com/mobile/13237/el-masry-club-vs-simba.html

No comments