NETBALL ZANZIBAR KUCHEZA KLABU BINGWA

Chama cha netball Zanzibar kinakabiliwa na mashindano ya klabu bingwa Champion ambayo yanataraji kufanyika nchini Kenya kuanzia tarehe 23 hadi tarehe 30.

Katibu wa chama cha Neteball Zanzibar Said Ally Mansabu alisema kwamba safari hii Zanzibar inataraji kupeleka timu nne huku timu moja ikiwa ya wanaume..

Mansabu alisema kwamba safari hii kwa upande wao wamedhamiria kwenda kufanya vyema kwenye mashindano hayo ili waweze kuipeperusha vyema bendera ya Zanzibar.

No comments