SHEIN AZINDUA RASMI MASHINDANO YA MAJIMBO

Raisi wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Ally Mohamed Shein leo hii amezindua rasmi mashindano ya Majimbo yanayoshilikisha jumla ya timu 18 kutoka Unguja.


Akiongea wakati wa uzinduzi wa mashindano hayo Shein aliwapongeza waandaaji wa michuano hiyo chini ya kamati maalumu kwani yataleta chachu katika soka la Zanzibar.


Alisema kwamba anaamini wachezaji wa timu hizo watacheza vizuri mpira wa kufundishwa kwa kushindana na wala sio kuzalauliana.


No comments