KAMUSOKO ASEMA HAIKUWA KAZI NYEPESI KWA YEYE KUTWAA TUZO LA MCHEZAJI BORA WA KIGENI


Thabani Kamusoko amesema kwamba haikua kazi nyepesi kwa yeye kuweza kufanikiwa kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa kigeni kutokana na ushindani uliopo kwa wachezaji wengi wa nje ya nchi wanaocheza soka huku pia wakiwa na viwango bora

Kamusoko amesema kwamba amefarijika kwa kuweza kupata tuzo hiyo tena akiwa kwenye ardhi ya kigeni hivyo jambo hilo linampa chachu ya kuendelea kujituma zaidi msimu ujao ili aweze kuisaidia timu yake ili kwa mara nyingine iweze kuwa bingwa wa ligi hiyo.

No comments