JERRY MURO ASEMA KUNA MTU ANATUMIA AKAUNTI FEKI YA TWITTER KUPOTOSHA JAMII YA


Mkuu wa idara ya Habari katika uongozi wa Yanga Jerry Muro ambae amefungiwa na shirikisho la mpira wa miguu hapa nchi TFF,kwa mwaka mmoj ametoa ufafanuzi kuhusiana na taarifa ambazo zinasambaa kupitia akaunti ya Twita akisema kwamba hiyo akaunti ni feki na kwa sasa ameshatoa malalamiko katika mamlaka husika na swala hilo linashughulikiwa

Kwa saa kuna taarifa ambazo hazina ukweli zikisambaa katika baadhi ya mitandao zikisema Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania amemthibitisha ndugu Greyson Msigwa kua mkurugenzi wa mawasiliano huku msaidizi wake ni aliyekua ni msemaji wa klabu ya Yanga Jerry Cornel Muro.



No comments