TP MAZEMBE WAANZA VYEMA HATUA YA MAKUNDI YA KOMBE LA SHIRIKISHO BARANI AFRIKA

Timu ya TP MAZEMBE ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeanza vyema katika michuano ya kombe la shirikisho barani mara baada ya kuibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya Medeama Sc ya Ghana

Magoli ya TP MAZEMBE ambao wamekua nyumbani leo hii yamefungwa na Ranford Kalaba ambae ametupia mabao mawili mguuni mwake,huku bao lingine limefungwa na Salif Coulbaly na bao la kufutia machozi la Medeama SC limefungwa na Malk Okowuach.


No comments