MAGUFULI AMUENGUWA ANNASTAZIA WAMBURA KWENYE WIZARA YA MICHEZO

Aliyekua naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Annastazia Wambura ameenguliwa katika nafasi hiyo leo hii kufuatia mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yaliyofanywa na Raisi wa nchi John Pombe Magufuli.

Katika mabadiliko hayo Rais Magufuli amemteua Juliana Shonza kuwa Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo huku Waziri wa Wizara hiyo akiendelea kuwepo Harrison Mwakyembe.

No comments