CALISAH AMETUDHALILISHA WANAUMME!!

Na Rodger
Mwanamitindo Maarufu Wa Mavamazi ya Kiume Hapa Nchini Calisah  Ambaye Aliwahi Kumake Hadlines Baada ya Kusambaa Kwa Picha Za Kimapenzi Na muigizaji wa Kike Wema Sepetu Amebreak Internet tena Kwenye Mtandao wa Kijamii wa Instagram Baada ya Kupost Picha Akiwa Amevalia Viatu Vya Kike.
Calisah Amepost Picha Kama Tatu kwenye Page yake ya IG akiwa amevaa Viatu vya Akina Dada Maarufu kama High heels Calisa Inaonekana alikuwa akitangaza bidhaa hizo Na Aliandika
"As long as nimelipwa pesa nyingi kuvaa viatu,kwani Ukivaa Na Kuvua kwa Picha while umelipwa big Money kuna tatizo gani.Kama Mwanauume mwanaume Tu,hakibadiliki kitu Na Wengi Mihuri yangu Mnaijua Mjini.Asa Km Kuna mwingine nae alete ntavaa ila aweke Tu mezani hela ntakayotaka...
Muulize@frank-Knows"Aliandika hivyo kwenye Ukurasa wa Instagram.

Lakini Baadhi ya Wanaume wenzake Wamekuwa Na Mtazamo tofauti juu ya Picha hizo Wakidai Kuwa Kama anadhalilisha wanaumme wenzake.

No comments