HAYA NDIO MAAMUZI YA MAHAKAMA JUU YA KESI YA DAWA YA KULEVYA KWA MANJI

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemwachia huru mfanyabiashara, Yusuf Manji katika kesi ya dawa za kulevya iliyokuwa inamkabili.

Hakimu Mfawidhi, Cyprian Mkeha amesema upande wa mashitaka ameshindwa kuthibitisha mashitaka hayo dhidi yake.

Manji alifikishwa mhakamani hapo kwa Mara ya  kwanza February 16 /2017 akidaiwa kuwa kati ya February 6 na 9 2017 katika eneo la upanga View Ilala jijin DSM alikutwa ametumia madawa ya kulevya aina ya Heroin  Deazopan.ambapo alikana shtaka na kuachiwa kwa dhamana ya mdhamini mmoja aliesaini bondi ya sjiling millioni kumi.

No comments