NSAJIGWA AWAPA TANO WACHEZAJI WAKE

Kocha msaidizi wa timu ya Yanga,Shadrack Nsajigwa amewapongeza wachezaji wake kwa kuweza kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 mbele ya Singida United

Nsajigwa amesema kwamba wachezaji wake wamecheza vizur katika mechi ya jana licha kutoka katika mazoezi magumu.

Alisema kwamba wanaamini baada ya muda kikosi kitakuwa na muunganiko mzuri na kitafanya vizuri katika michezo ya ligi kuu ya Tanzania bara.

No comments