TUNDA AMBEEP ZARI KWA DAIMOND PLUTINUMZ

Na Said Ally Mwandike
Mrembo maarufu wa video za bongo anaejulikana kwa jina la "Tunda" ameanza kuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii baada ya mrembo huyo kumpost msanii nguli wa bongo frever Daimond Platinumz AKA Chibu Dangote kupitia ukurasa wake wa instagram.

Wadau mbalimbali hasa wale ambao wanafuatilia kwa ukaribu mitandao ya kijamii wameonekana kuwa na maswali ambayo bado hawajapata majibu wakijiuliza kuna kitu gani kinaendelea kati ya wawili hao.

Mbali ya Tunda kumuweka Chibu Dangote kwenye plofile picha katika ukurasa wake wa instagram pia leo hii alionekana akiimba wimbo wa  Halleluyah ulioimbwa na Daimond ambapo wadau hao wameonekana kuwa na maswali zaidi kuhusiana na kile ambacho kinaendelea.

Hata hivyo wengi wao wanadhani kuwa huenda mrembo huyo akawa na mahusiano ya kimapenzi na Chibu au ni njia mojawapo ya kutafuta kiki.

No comments