MECHI ZA YANGA NA SIMBA ZILIZOBAKI

Ligi kuu ya Tanzania bara ikielekea ukingoni mbio za ubingwa wa ligi hiyo unafukiziwa kwa ukaribu na mahasimu wa Jadi Simba na Yanga.

Hadi kufikia sasa Yanga ndio anaongoza ligi akiwa na alama 56 huku mpinzani wake Simba akishika nafasi ya pili kwa alama 55 huku kila timu ikisaliwa na michezo mitano.

Mechi ambazo zimesalia kwa pande zote ni;
SIMBA..
Mbao FC-Mwanza
Toto Africans-Mwanza
Afrika Lyon-Dsm
Stand United-Dsm
Mwadui-Dsm
....................................
YANGA
Toto Africans-Dsm
Kagera Sugar-Dsm
Prisons-Dsm
Mbeya City-Dsm
Mbao FC-Mwanza

No comments