VILABU MBALIMBALI VAJITOKEZA KUMSAJILI SALUM TELELA


Meneja wa mchezaji Salum Telela,Fadhili Shilungushela amesema kwamba kwa sasa vilabu vingi ambavyo vinashiliki ligi kuu ya Tanzania bara vimejitokeza kuwania saini ya mchezaji huyo 

Shilungushela amesema kwamba kwa sasa kuna mazungumzo yanaendelea na timu ya Ndanda na kitu ambacho kinaleta kikwazo cha kutosaini mkataba wa kuitumikia timu hiyo ni swala zima la maslahi 

Amesema kwamba wao hawana kikwazo kwa timu yeyote ambayo itakua na nia ya kumsajili ispokua kipaumbele chao ni juu ya maslahi ya mchezaji

Telela kwa sasa ni mchezaji huru mara baada ya mkataba wake na klabu ya Yanga kumalizika na hakua kwenye mipango ya kocha Hans katika harakati za kumuongezea mkataba mpya

No comments