IDYOSA YAANZA MCHAKATO WA KUENDESHA KOZI YA AWALI YA UKOCHA WA MPIRA WA MIGUU


Chama cha vijana wilaya ya Ilala IDYOSA kinataraji kuendesha kozi ya awali ya uwalimu wa mpira wa miguu ambayo ina lengo la kuweza kuwasaidia wadau wa soka ambao wana nia ya kuwa makocha bora kuweza kupata weledi wa kutosha

Katibu msaidizi wa IDYOSA,Said Pambalelo amewataka wadau wa soka wa wilaya hiyo kuweza kufika kwenye ofsi za DRFA kwa ajili ya kujiandikisha ili kuweza kushiriki kozi hiyo

No comments