TELELA ASAINI NDANDA


Baada ya kuachwa na klabu ya Yanga katika usajili wa wachezaji wa ligi kuu ya Tanzania bara,hatimae leo hii  Salum Telela amesaini kandarasi ya mwaka mmoja katika klabu ya Ndanda ya mkoani Mtwara kwa ajili ya kuitumikia katika msimu ujao wa ligi kuu ya Tanzania bara

Awali meneja wa mchezaji huyo alisema kwamba ifikapo tarehe 25 ya mwezi huu ambapo ndio leo kama kusengekua na timu ambayo ingetoa ofa nzuri basi Telela angelejea darasan kuendelea na masomo

Telela ameachwa na klabu ya Yanga baada ya kocha mkuu wa klabu hiyo Hans Van der Pluijm kutoridhishwa na kiwango chake.

No comments