SIMBA YAMREJESHA LOGARUSIC DAR ES SALAAM


Kikosi cha timu ya Simba ya jijini  Dar es salaam kinataraji kucheza mchezo wa kirafiki na timu ya Inter Club ya Angola ambayo inafundishwa na kocha wa zamani wa timu hiyo Zdrvko Logarusic katika tamasha la Simba day linalotaraji kufanyika Agost 8 mwaka huu.

Aveva amesema kwamba msimu huu tamasha hilo la Simba day limeboreshwa Zaidi ambapo wanataraji kua na program mbalimbali za kijamii 

Amesema kwamba mbali na shughuli za kijamii pia uongozi wa klabu hiyo utatumia siku hiyo ya tarehe nane kuwatambulisha wachezaji wapya wa klabu hiyo ambao wamesajiliwa kwa ajili ya msimu ujao wa ligi kuu ya Tanzania bara

No comments