SUPER SPORT KUONYESHA MECHI YA YANGA NA MEDEAMA



Taarifa za awali kutoka nchini Ghana zinasema kwamba mechi ya Yanga dhidi ya Medeama ya nchini Ghana mechi amabayo Yanga itakua ugenini itaonyeshwa na kituo cha televisheni cha Super sport [SS9].

No comments