KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA LIPULI FC

Kikosi kamili cha Simba leo hii kinachotaraji kushuka kwenye uwanja wa Samora mkoani Iringa kumenyana na Lipuli FC katika mchezo wa ligi kuu ya Tanzania bara.

1.Aishi Manula
2.Nicholas Gyan
3.Asante Kwasi
4.Juuko Murshid
5.Yusuf Mlipili
6.Jamse Kotei
7.Erasto Nyoni
8.Shomari Kapombe
9.Emmanuel Okwi
10.John Bocco (C)
11.Shiza Kichuya

Substitution
12.Said Mohammed
13.Laudt Mavugo
14.Rashid Juma
15.Mohamed Hussein
16.Paul Bukaba
17.Said Hamis
18.Mzamiru Yassin

MFUMO 3-5-2

No comments