TIMU YA TAIFA CHINI YA MIAKA 20 YAINGIA KAMBINI

Kikosi cha timu ya Taifa chini ya miaka 20(Ngorongoro Heroes) kimeingia kambini kujiandaa na mchezo wake wa raundi ya kwanza ya kuitafuta tiketi ya kucheza fainali za vijana za Africa dhidi ya Congo mchezo utakaochezwa Machi 31, 2018 kwenye Uwanja wa Taifa.

Kikosi kilichoingia kambini makao Makuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Machi 6, 2018 ni wachezaji 40 ambao watapunguzwa na kubaki wachezaji 30 baada ya kumalizika wiki ya kwanza ya mazoezi.

Kikosi kilichoingia kambini

1.Ramadhan Kabwili(Young Africans)
2.Abutwarib Mshedi(Mtibwa)
3.Johny Kwiyenda(Makongo)
4.Ally Salim (Simba)
5.Kibwana Ally Shomari(Mtibwa)
6.Ally Hussein Msengi(Mbao)
7.Enrick Vitalis Nkosi(African Lyon)
8.Dikson Job(Mtibwa)
9.Assad Juma(Singida United)
10.Said Mussa Bakary(Young Africans)
11.Ally Ng’anzi(Singida United)
12.Kelvin Nashin Naftal(JKT Tanzania)
13.Shaban Ada(Lipuli)
14.Issa makamba(Singida United)
15.Mohamed Rashid(Singida United)
16.Marko Gerald(JMK)
17.Syprian Mtesigwa(Dodoma FC)
18.Muhsin Makame(Njombe Mji)
19.Yohana Mkomola(Young Africans)
20.Ibrahim Abdallah (Miembeni City)
21.Abdul Suleiman(Ndanda)
22.Nickson Kibabage(Njombe Mji)
23.Mussa Najimu(Changanyikeni)
24.Maziku Aman(Makongo)
25.Hamis Mustafa(Ndanda)
26.Samson Myati(Toto Africans)
27.Said Mohamed(Azam FC)
28.Ayoub Mohamed(Young Africans)
29.Mohamed Mussa(Azam FC)
30.Emanuel Myati(Tz Prisons)
31.Riffat Hamis(Mtibwa)
32.Oscar Masai(Azam FC)
33.Paul Peter(Azam FC)
34.Vitalis Mayanga(African Lyon)
35.Rajab Mohamed(Azam FC)
36.Pontia Ohonya
37.Maka Anthony(Young Africans)
38.Israel Mwenda(Alliance)
39.Hance Msonga(Alliance)
40.Moses Kitandu(Simba)

No comments