HIVI NDIVYO VIINGILIO VYA MECHI YA YANGA NA TOWNSHIP ROLLERS

Kiingilio cha chini katika mchezo wa klabu bingwa barani Afrika kati ya Yanga dhidi ya Township  Rollers ni shilingi elfu 5,000 kwa viti vya mzunguko.

VIP A ni shilingi elfu 20,000 huku VIP B&C ni shilingi elfu 10,000.

Mechi hiyo inatarajiwa kupigwa siku ya jumanne kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kuanzia mishale ya saa 10 na nusu jioni.

No comments