KISAMAKI TZ KUTOKA MKUBWA NA WANAWE AACHIA NGOMA MPYA

Msanii wa bongo Freva kutoka katika kundi la Mkubwa na Wanawe linaloongozwa na  Said Fella,Kisamaki Tz ameachia ngoma yake mpya inayoitwa  "Tamaa"ambayo imetengezwa na director Sam Tz.

Kwa sasa unaweza kuitazama ngoma yake kupitia You Tube au bio yake @kisamaki-tz @kimwaga-arts @mkubwa na wanawe.

Kisamaki tz ametamba kufanya vizuri katika tasnia ya muziki hivyo anaomba wadau wampe sapoti ya kutosha ili aendelee kufanya vizuri zaidi.

No comments