YANGA YATEUA MAJINA 28 KUUNDA KAMATI YA MASHINDANO

Na Said Ally
Kamati ya utendaji ya klabu ya Yanga iliyokukutana leo hii tarehe 21/12/2017 makao makuu ya klabu hiyo katika kikao maalumu,imeteua majina 28 ya wanachama kuunda kamati mpya ya mashindano.

Katika uteuzi huo,Hussein Nyika ameteuliwa kuwa mwenyekiti,Musatapha Ulungo,makamu mwenyekiti na Samuel Lukumay ameteuliwa kuwa katibu wa kamati hiyo.

Wajumbe wengine ni;
1.Omary Chuma
2.Hussein Ndama
3.Majid Suleiman
4.Mussa Katabaro
5.Yusuphed Mhandeni
6.Beda Tindwa
7.Jackson Maagi
8.Lameck Nyambaya
9.Nicko Meela
10.Edward Urio
11.Rogers Gumbo
12.Edigar Mutani
13.Shija Richard
14.Sanga Kayanda
15.Hamad Islam
16.Pascal Kihanga
17.Isiaka Sengo
18.Bahati Mwaseba
19.Rashid Msinde
20.Khalfani H.Kigwelembe
21.Yanga Makanga
22.Rogers Lamlembe
23.Leonald Chigango

Kwa mujibu wa taarifa iliyotumwa kwa waandishi wa Habari inaeleza kwamba majina ya wajumbe wengine wawili pamoja na matatu ya walezi na washauri wa kamati hiyo yatatangazwa baadae.

No comments