BEACH SOCER ZANZIBAR WAKABIDHIWA BENDERA

Na,Sleiman Ussi,Unguja
Kikosi cha timu ya taifa kwa upande wa soka la ufukweni zanzibar ( SAND HEROSE ) leo kimekabidhiwa bendera na waziri wa habari utalii utamaduni na michezo zanzibar Rashid Ally Juma kwa ajili ya kwenda kushiriki mashindano ya COPA BECH SOCCER DARESALM yatakayofanyika siku ya tarehe 25 mwezi huu.

Jumla ya msafara utakuwa na watu 15 viongozi pamoja na wachezaji
VIONGOZI
1)      Haji Issa Kidali    ( mkuu wa msafara )
2)      Aliy sheikh Al-habshiy Adofu ( Cocha mkuu /mwenyekiti )
3)      Fahadi Khamis Said ( Katibu )
4)      Muhsini Ally Rajabu Kamara ( mkuu wa ufundi )
5)      Mohd Masoud Mohd ( msaidizi kocha )

PLAYERS
6)Ahmed rajabu ( Goal keeper no 1 )
7)Abdullmajid Azhar twaha (goal keeper no 2)
8) Mohd makame Silima ( Capten)

9)      Khamis Said Hamad   ( player )
10)maulid salum Abdallah ( player )
11) Talib Ame Soud ( player )
12) Ahmada Abdi Ahmada ( player )
13) Soud Ame Soud ( player )
14) Abdullqadir Ally Tabib ( player )
15) Rajabu.

No comments