HAMIS KIIZA AJIUNGA NA AL HILAL

Mshambuliaji wa zamani wa timu ya soka ya Yanga pamoja na timu ya Simba Hamis Kiiza amejiunga rasmi na klabu ya Al Hilal ya Sudan kwa kuingia kanadarasi ya mwaka mmoja kwa ajili ya kuitumikia timu hiyo.

Kiiza ni miongoni mwa wachezaji wenye bahati ya kusajiliwa na vilabu mbalimbali katika nchi tofauti ambapo pia baada ya kuachwa na klabu ya Simba alielekea nchini Afrika ya Kusini akijiunga na klabu ya Free State kabla ya kurejea nchini Uganda.


No comments