MAYANGA AMUITA BENO KAKOLANYA KWENYE KIKOSI CHA TAIFA STARS

Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars,Salum Mayanga ametangaza majina ya wachezaji 24 ambao wanaunda kikosi cha timu ya Taifa kwa ajili ya kujiandaa na fainali za Afrika za mwaka 2019.

Katika kikosi hicho Mayanga amemjumuisha kwa mara ya kwanza mlinda mlango wa timu ya Yanga Beno Kakolanya.

Kikosi hicho kinajumuisha wachezaji wafuatao.

MAKIPA
1.Aishi Manula
2.Beno Kakolanya
3.Said Mohamed

WAZUIAJI
1.Shomar Kapombe
2.Hassani Ramadhani Kessy
3.Mwinyi Haji
4.Mohamed Hussein
5.Salim Abdalah
6.Agrey Moris
7.Abdi Banda
8.Erasto Nyoni

VIUNGO
1.Himid Mao
2.Jonas Mkude
3.Salum Abubakar
4.Said Ndemla
5.Mzamiru Yassin
6.Simon Msuva
7.Farid Musa
8.Shiza Kichuya
9.Thomas Ulimwengu

WASHAMBULIAJI
1.Mbwana Samata
2.Mbaraka Yusuph
3.Ibrahim Hajibu
4.Abdulrahiman Mussa

No comments