MALINZI NA MWESIGWA WAPELEKWA GEREZANI

Rais wa TFF,Jamali Malinzi na katibu mkuu wa shirikisho hilo Selestine Mwesigwa wamerudishwa rumande hadi siku ya jumatatu ya wiki ijayo itakaposikilizwa tena kesi yao.

Malinzi na Mwesigwa walishikiliwa na taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwa ajili ya uchunguzi ambapo wanashikiliwa kwa makosa 28 ya utakatishaji wa fedha.

Taarifa kamili zitawajia kupitia MWANDIKE.BLOGSPORT

No comments