AVEVA NA KABURU WARUDISHWA RUMANDE

Rais wa klabu ya Simba  Evans Aveva na makamu wake Geofrey Nyange Kaburu wamerudishwa rumande hadi july 13 mwaka huu baada ya kukosa dhamana kwa kesi yao ya kutakatisha fedha.

Taarifa kamili zitawajia kupitia MWANDIKE.BLOGSPORT.

No comments