ROMA MKATOLIKI AMCHANA DOGO JANJA LIVE

Na,DJ Rodger
Roma Mkatoliki AkA Baba Ivan Ambaye  Kwa Sasa anaeuunda Kund la Rostam Amemchana Kiaina Msanii Mwenzie Dogo Janja Kutokana na Kufunga Ndoa Na Mwiigizaji wa Kike Irene Uwoya.

Roma Mkatoliki  Kupitia Ukurasa wa Instagram Leo amepost Picha ya Mtoto wake Ivan Nakuandika``Maisha Bana Hayatabiriki Hata Kidogo Nimekaa Nikawazaaaaaaaaaaa Yaani Hukawii Kuja Kusikia Siku#Ivan Amemuoa@rossendauka Wallah #BadamuBatawagikaje Nhhhm!!

Ndoa ya Dogo Janja Imekuwa Gumzo sana Midomoni Mwa Watu tofauti tofauti  Kutokana na Umri wake Kutoendana na Irene Uwoya Wengine Wakimpongeza na Wengine wakimponda Kutokana na hatua yake ya Kumuona Irene Uwoya ambaye anamzidi Umri.

Dogo Janja Amefunga Ndoa Na Irene Uwoya hivi karibuni Ambapo Mara Baada ya Kuanza Kusambaa kwa Picha zao Kwenye Mitandao ya Kijamii Wengi Walianza Kudai Huenda Wanatafuta Kiki na huenda Kuna
Kitu wanataka Kikitoa.

No comments