MTIBWA SUGAR WAJIBU MAPIGO KWA BAADHI YA TIMU

Timu ya Mtibwa Sugar nayo imejibu mapigo kwa baadhi ya timu za ligi kuu ya Tanzania bara zikiwemo Simba,Yanga na Azam baada ya kufanikiwa kuwa na basi kubwa ambalo litatumika kwa ajili ya shughuli za timu.

Mtibwa Sugar sasa inaungana na klabu ya Mbao FC pamoja na Singida United ambao ni miongoni mwa vilabu vya ligi kuu ya Tanzania bara vilivyofanikiwa kuwa na mabasi makubwa katika msimu huu.

No comments