MCHEZAJI WA AZAM ASHIKILIWA KWA KUMPIGA TRAFFIC


Mchezaji wa timu ya Azam FC,Himid Mao Mkami anashikiliwa na jeshi la Polisi katika kituo cha Staki Shari jijini Dar es salaam akidaiwa  kumshambulia kwa ngumi askari Polisi,kikosi cha usalama barabarani [Traffic]

Taarifa za awali kutoka kwa chanzo cha taarifa hii zinasema,Mao wakati anaendesha gari lake kwa mwendo kasi  alisimamishwa na trafiki,lakini ajabu aliposhuka alimshambulia kwa ngumi za uso askari huyo akidai amemchelewesha safari yake.

No comments