FEDHA ZA OKWI ZAMTOKEA PUANI AVEVA


Rais wa klabu ya Simba Evansi Aveva amekumbana na rungu la Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU,baada ya kutiwa hatiani na kupelekwa Polisi kwa kosa linalodaiwa ni kukutwa na tuhuma za rushwa

Ingawa hakuna taarifa rasmi juu ya jambo hilo lkn taarifa za awali zinasema Aveva amekamatwa na TAKUKURU baada ya kuhamisha fedha za mauzo ya Okwi shilingi milioni 450 kwenye akaunti yake binfsi kuhofia zisichukuliwe na TRA kwa kua Simba inadaiwa na zaidi ya shilingi milioni 650

No comments