DAIMOND PLATNUMZ AELEZA HISIA ZAKE KWA ZARI


Staa wa bongo anaetamba na wimbo wake ujulikanao "Kidogo" Daimond Platnumz ameweka bayana juu ya uvumi ambao umekua ukienea katika baadhi ya mitandao mbalimbali juu ya uhusiano wake na mpenzi wake Zari kua kwa sasa wawili hao hawana maelewano mazuri kwenye mapenzi yao.

Kupitia kurasa zake za kijamii Daimond ameweka ujumbe unaonyesha kwamba staa huyo wa bongo bado anathamini penzi la Zari huku akiweka bayana mwandani wake huyo wa bongo ni mjamzito.

HUU NI UJUMBE AMBAO AMEUANDIKA DAIMOND KATIKA MITANDAO YAKE YA KIJAMII
Ukiwa na Mwanamke Mzuri, Superstar, Ambae shilingi Mia miambili haimpigi chenga, Halaf ana akili, Akakuzalia Mtoto wa kike, Halaf mtoto nae Star, halaf akawa na Mimba yako Nyingine ya mtoto wakiume.. basi unajionea Mashia Muruaaaaaaaaaaaaaaaa😊😄😍😚😍...Lol yani Hapa najikuta kama sjui Biligeti Mzee wa Kwio😊😆 😘😍💞💕💝 Mi nampenda huyu dada Mwe🙆😟 @zarithebosslady

No comments