AJIBU NJE YANGA IKIIVAA MBEYA CITY

Kaimu kocha mkuu wa klabu ya Yanga Noel Mwandila ameshindwa kumpanga mchezaji Ibrahim Ajibu katika kikosi chake kinachotarajiwa kumenyana na Mbeya City jioni ya leo baada ya mchezji huyo kutoka kwenye majeruhi.

Ajibu ni miongoni mwa wachezaji ambao wamesafiri na timu huko mkoani Mbeya lakini Benchi la ufundi limebaini kuwa hayuko katika hali nzuri ya kuanza mchezo wa leo licha ya kupona.

KIKOSI KAMILI
1.Youthe Rostand
2.Juma Abdul
3.Gadiel Michael
4.Abdalah Haji Shaibu
5.Kelvin Yondan
6.Said Juma Makapu
7.Yussuf Mhilu
8.Pius Buswita
9.Obrey Chirwa
10.Raphael Daud
11.Emmanuel Martine

SUB
12.Beno Kakolanya
13.Mwinyi Haji
14.Nadri Haroub
15.Maka Edward
16.Juma Mahadhi
17.Yohana Mkomola
18.Geofrey Mwashiuya

No comments