TANZIA;NADIR AFIWA NA MWANAE

Nahodha wa timu ya Yanga Nadir Haroub amepata msiba wa mtoto wake Anwar Nadir aliefariki alfajiri ya leo kwenye hospitali ya Muhimbili.

Kwa mujibu wa taarifa hii ambayo imeelezwa na afsa habari msaidizi wa klabu ya Yanga Godlisten Anderson Chicharito inadaiwa Kuwa mtoto huyo wa miezi miezi miwili akiwa mzaliwa wa tatu kwenye familia ya Nadir alikuwa anasumbuliwa na matatizo ya damu.

No comments